BREAKING NEWS WAGONJWA WAONGEZEKA WAWILI WAFARIKI

1


Wagonjwa Wapya 23 Zanzibar Waongezeka, Wawili Wafariki Kwa Corona

Wizara ya Afya Zanzibar inatoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya ishirini na tatu (23) wa Corona (COVID -19) na kufikia idadi ya wagonjwa hamisini na nane (58) kutoka thelathini na tano (35) ambao tuliwatolea taarifa tarehe 17 Aprili, 2020

Subscribe On My Youtube Channel @GechaMedia kupata Habari Zote za Burudani, Kuburudisha, Udaku, Vichambo Kutoka Kwa Mastaa Wako KENYA UGANDA TANZANIA Na Nje

1 Comment
  1. Mary Chilongozi says

    Ee Mungu weee tenda kwetu Watanzania tuepushie huu ugonjwa hatari baba

Leave A Reply

Your email address will not be published.